Home Vipindi Zinga : Zogo la Wachuuzi Kaunti ya Nairobi

Zinga : Zogo la Wachuuzi Kaunti ya Nairobi

0

Baada ya Kaunti ya Nairobi kupiga marufuku uchuuzi wa bidhaa Katika baadhi ya barabara katikati mwa jiji, Wanasiasa na Makundi mbali mbali wamejitokeza kupinga hatua hii ya Gavana Sakaja ambayo wanasema ‘Haijakusudiwa na inakosa kutoa njia mbadala kwa Wachuuzi. Lakini je, ni sawa Wachuuzi wadogo wadogo kuondolewa katikati mwa jiji na barabarani hapa Nairobi?

Website | + posts