Home Vipindi Zinga: Ziara ya Rais Ruto Nyanza inatoa ishara gani kwa Raila Odinga

Zinga: Ziara ya Rais Ruto Nyanza inatoa ishara gani kwa Raila Odinga

0

Kulingana na mchambuzi wa masuala ya siasa Martin Andati, ziara ya Rais Ruto katika eneo la Nyanza japo ni ya kikazi, inadhamiria kuwinda kura za Raila Odinga katika eneo ambalo limemuunga mkono kwa miaka mingi.