Home Vipindi Zinga: Wengi wa waathiriwa wa machafuko ya baada ya Uchaguzi wa 2007...

Zinga: Wengi wa waathiriwa wa machafuko ya baada ya Uchaguzi wa 2007 wanahangaika

0

Kulingana na Leah Aoko kutoka shirika la Utu Wetu ambalo linafanya kazi la kuwashughulikia wahanga wa machafuko ya baada uchaguzi , waathiriwa wengi wanaishi na hofu ya maisha na machungu ya kuwapoteza wapendwa wao, baadhi yao wakingojea kufidiwa.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts