Home Vipindi Zinga: Wanawake waonywa dhidi ya kuavya mimba

Zinga: Wanawake waonywa dhidi ya kuavya mimba

0

Wanawake wameonywa dhidi ya kuavya mimba kutokana na sababu binafsi. Aidha mkuu wa jinsia katika shirika la takwimu humu nchini Stanley Wambua amewahimiza kuchukua njia mbadala ili kujikinga dhidi ya madhara yatokanayo na uavyaji mimba.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here