Home Vipindi Zinga: Walioidhinisha ujenzi wa nyumba kwenye njia za mito wachukuliwe hatua, asema...

Zinga: Walioidhinisha ujenzi wa nyumba kwenye njia za mito wachukuliwe hatua, asema mtaalamu wa majanga

0

Mtaalamu wa majanga Pius Masai Mwachi ametaka serikali kuwachukulia hatua kali, maafisa wa umma ambao waliidhinisha ujenzi wa majengo/nyumba kwenye njia za mito ambazo zimesombwa na kusababisha vifo kutokana na mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa humu nchini wakati huu.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts