Wachambuzi wa masuala ya siasa wameendelea kutoa hisia mseto kuhusiana na mazungumzo yanayoendelea kati ya upinzani na serikali. Wakiongozwa na Gibson Gisore na David Alulu, wachambuzi hao wamesema wanasiasa wameendeleza tabia yao ya kuyapa kipaumbele matakwa yao badala ya yale ya mwananchi wa kawaida.
Home Kaunti Zinga: Mazungumzo yanayoendelea yaibua hisia mseto miongoni mwa wachanganuzi wa masuala ya...