Home Vipindi Zinga: Ufadhili wa elimu ya juu

Zinga: Ufadhili wa elimu ya juu

Afisa mkuu mtendaji wa bodi ya kufadhili elimu ya juu humu nchini Charles Ringera amesisitiza kwamba mfumo mpya wa kufadhili ya vyuo vikuu hautawafungia nje wanafunzi wasiojiweza kupata haki yao ya elimu ya juu.

0

Afisa Mkuu Mtendaji wa bodi ya kufadhili elimu ya juu humu nchini Charles Ringera amesisitiza kwamba mfumo mpya wa kufadhili masomo ya vyuo vikuu hautawafungia nje wanafunzi wasiojiweza kupata haki yao ya elimu ya juu.