Home Vipindi Zinga: Siasa za mazungumzo ya Taifa na gharama ya maisha

Zinga: Siasa za mazungumzo ya Taifa na gharama ya maisha

0

Mbunge wa Funyula Wilberforce Ojiambo amesema serikali ya Kenya Kwanza imeshindwa kushughulikia gharama ya juu ya maisha huku akimtaka Rais William Ruto kujitokeza kusghulikia hali hiyo.