Home Vipindi Zinga: Ni sawa kuwatimua wabunge wanaokiuka sheria ya vyama?

Zinga: Ni sawa kuwatimua wabunge wanaokiuka sheria ya vyama?

0

Wakili na mchanganuzi wa masuala ya siasa Stanley Kinyanjui anasema japo wasaliti wa vyama wanastahiki kupewa nafasi ya kusikilizwa haimaanishi wanapoenda kinyume na chama wasitimuliwe.