Home Vipindi Zinga: Mwaka mmoja wa Rais Ruto mamlakani

Zinga: Mwaka mmoja wa Rais Ruto mamlakani

0

Rais William Ruto amemaliza mwaka mmoja madarakani tangu achaguliwe na kuapishwa mwaka jana, lakini je ahadi alizotoa amezitimiza au hajazitimiza ?