Home Vipindi Zinga: Mwaka mmoja madarakani, Kenya Kwanza imeafikia yapi ?

Zinga: Mwaka mmoja madarakani, Kenya Kwanza imeafikia yapi ?

0

Imetimia mwaka mmoja leo Jumatano, Agosti 9, 2023 tangu kuchaguliwa kwa serikali ya muungano wa Kenya Kwanza. Kwa kipindi ambacho imekuwa madarakani, ni yapi ambayo serikali imetekeleza kufikia sasa? Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano katika chama cha UDA Benjamin Caleb Wandalo ametufafanulia kinagaubaga mafanikio ya serikali kupitia kipindi cha Zinga la Asubuhi. Sikiliza.

 

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here