Home Vipindi Zinga: Mustakabali wa ripoti ya mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa ni upi?

Zinga: Mustakabali wa ripoti ya mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa ni upi?

0

Kulingana na Mchambuzi wa masuala ya siasa Javas Bigwambo ripoti iliyowasilishwa na kamati teule ya NADCO kwa Rais Ruto na Kinara wa Upinzani Raila Odinga imewaacha wengi wakihoji mengi kuihusu, huku mipasuko ikishughudiwa katika mrengo wa Upinzani

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts