Home Vipindi Zinga : Mtihani wa Kitaifa wa KCPE watamatika

Zinga : Mtihani wa Kitaifa wa KCPE watamatika

0

Mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE wakamilika ukizima mtaala wa 8-4-4 kupisha mtaala mpya ulianzishwa na serikali. Takriban watahiniwa milioni 1.4 waliukalia mtihani huo ulioanza jumatatu na kutamatika leo jumatano.