Home Vipindi Zinga: Miaka kumi ya ugatuzi, mafanikio na changamoto zake

Zinga: Miaka kumi ya ugatuzi, mafanikio na changamoto zake

0

Mfumo wa ugatuzi umeonekana kupeleka maendeleo mashinani. Lakini ijapokuwa umesifiwa kwa kuchochea maendeleo hayo, kumekuwa na changamoto si haba, mojawapo likiwa swala sugu la ufisadi.

 

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here