Home Vipindi Zinga: Mchakato wa kumtimua Gavana Mwangaza

Zinga: Mchakato wa kumtimua Gavana Mwangaza

0

Wawakilishi wadi wa kaunti ya Meru walipiga kura ya kumwondoa madarakani gavana Kawira Mwangaza kwa tuhuma mbali mbali.

Miiongoni mwa tuhuma hizi ni upendeleo pamoja na utumizi mbaya wa mamlaka, lakini Je, ushahidi uliowasilisha leo mbele ya seneti ni tosha kumbandua gavana wa Meru Gavana Mwangaza ?