Home Vipindi Zinga: Maridhiano ni muhimu kwa maendeleo ya taifa, asema mbunge wa Azimio

Zinga: Maridhiano ni muhimu kwa maendeleo ya taifa, asema mbunge wa Azimio

Mbunge wa Bomachoge Borabu Obadiah Barongo amesema uwiano wa taifa hili ni muhimu katika kuendeleza na kuimarisha uchumi wake. 

0

Mbunge wa Bomachoge Borabu Obadiah Barongo amesema uwiano wa taifa hili ni muhimu katika kuendeleza na kuimarisha uchumi wake. 

Akiongea hii leo na Radio Taifa, Barongo amesisitiza nia ya kuwepo kwa mazungumzo baina ya serikali na upinzani ili kukwamua taifa hili kiuchumi huku akipinga matamshi ya viongozi wa serikali wanaosema Raila Odinga anataka kuingia serikalini kupitia mlango wa nyuma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here