Home Vipindi Zinga: Mapendekezo ya mfumo wa CBC kuimarisha elimu nchini

Zinga: Mapendekezo ya mfumo wa CBC kuimarisha elimu nchini

Mapendekezo yaliyo katika ripoti hiyo ni pamoja na serikali kuanza kuwafadhili wanafunzi wanaojiunga na chekechea, kutokana na mahitaji mengi ya Mfumo wa Elimu ya Umilisi (CBC)

0
Rais William Ruto akipokea ripoti ya mapendekezo ya CBC; Picha kwa hisani.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Nairobi Andrew Watuha amesema mapendekezo ya Jopo la Rais kuhusu Mageuzi ya Elimu Nchini (PWPER) ni bora kwa kizazi hiki ikiwa kila anayehusika atawajibika.

Mapendekezo yaliyo katika ripoti hiyo ni pamoja na serikali kuanza kuwafadhili wanafunzi wanaojiunga na shule ya chekechea, kutokana na mahitaji mengi ya Mfumo wa Elimu ya Umilisi (CBC).

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here