Home Vipindi Zinga: Kuwasherehekea na kuwatambua mashujaa wa Imani

Zinga: Kuwasherehekea na kuwatambua mashujaa wa Imani

0

Wakfu wa Heroes and Heroines unatazamia kuwasherehekea wakristu na waumini waliohudumu kwa muda mrefu na ambao kujitolea kwao katika safari ya mahubiri kumegusa maisha ya watu wengi.