Home Vipindi Zinga: Kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani

Zinga: Kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani

Siku ya watoto Duniani huadhimishwa kila Novemba 20 ikilenga kukuza na kusherehekea ustawi na Haki za Watoto Duniani

0

Siku ya Watoto Duniani huadhimishwa kila Novemba 20, ikilenga kukuza na kusherehekea Ustawi na Haki za Watoto Duniani. Ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Azimio la Haki za Mtoto lililopitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Mwaka 1989.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts