Licha ya kufanya vizuri katika mashindano ya riadha ya dunia huko Budapest Hungary, Kocha Mwaniki anahisi kama taifa tunaweza tukawahimarisha wana riadha wetu hata zaidi. Mwaniki aidha ametoa wito kwa magavana kukuza riadha katika sehemu wanazowakilisha kama njia moja ya kukuza vipaji.