Home Vipindi Zinga: Kaunti zimewanyanyasa mno wauguzi, migomo ni mingi

Zinga: Kaunti zimewanyanyasa mno wauguzi, migomo ni mingi

0

Tangu sekta ya Afya igatuliwe, kumeshughudiwa ongezeko la visa vya mgomo, haya ni kulingana na naibu Katibu Mkuu wa KMPDU, Dennis Miskella ambaye anasema serikali inapaswa kuunda mkakati wa kuhakikisha kuwa madaktari na wauguzi wanapewa kazi na Wizara ya Afya mara tu baada ya kuhitimu kutoka vyuo vikuu.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts