Home Vipindi Zinga: Kampeni ya ‘Dere Smart’ inaazimia kuzaa matunda gani ? Fahamu

Zinga: Kampeni ya ‘Dere Smart’ inaazimia kuzaa matunda gani ? Fahamu

0

Halmashauri ya kitaifa ya usalama barabarani NTSA inaendeleza kampeni ya Dere Smart kama njia moja ya kutoa mafunzo na hamasa kwa wadau katika sekta ya uchukuzi , lakini kampeni ya Dere Smart inalenga kuanzia nini ?

 

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts