Home Vipindi Zinga: Je, Kenya imepiga hatua katika kupambana na ufisadi?

Zinga: Je, Kenya imepiga hatua katika kupambana na ufisadi?

0

Katika makala ya leo ya Gumzo Pevu, tunangalia swala la ufisadi ikiwa ni pamoja na unyakuzi wa mashamba na matumizi mabaya ya mali ya umma. Leo hii, tunaye Philip Kagucia kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC kutuelezea bayana tulipo kama taifa.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts