Home Kaunti Zinga: Hakuna afisa wa trafiki anatumwa kuokota hongo na mkubwa wake, kamanda...

Zinga: Hakuna afisa wa trafiki anatumwa kuokota hongo na mkubwa wake, kamanda wa trafiki nchini asema

0
kra

Kamanda katika idara ya trafiki humu nchini Mary Wangui amefutilia mbali ripoti kwamba maafisa wa trafiki hutumwa na wakubwa wao kuwaokotea hongo kutoka kwa umma akisema kuwa watakaopatikana watachukuliwa hatua kali.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts
kra