Home Michezo Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la Dunia...

Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa vipusa

0

Wenyeji Australia maarufu kama Matildas wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa mabao 7-6 dhidi ya Ufaransa kupitia mikwaju ya penalti baada ya sare tasa katika dakika 120.

Australia watachuana na aidha Uingereza au Colombia katika nusu fainali.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here