Home Michezo Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa vidosho

Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa vidosho

Australia wameongza kundi B kwa pointi 6,moja zaidi ya Nigeria iliyomaliza ya pili baada ya kutoka sare tasa na Ireland.

0

Wenyeji Australia wamefuzu kwa raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuwagaragaza mabingwa wa Olimpiki Canada mabao 4 kwa bila katika mchuano wa kundi B uliopigwa mjini Melbourne Jumatatu.

Hayley Raso alipachika magoli mawili kabla ya Mary Fowler na Steph Catley kutikisa nyavu kwa Matildas.

Australia wameongza kundi B kwa pointi 6, moja zaidi ya Nigeria iliyomaliza ya pili baada ya kutoka sare tasa na Ireland.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here