Home Kimataifa Waziri Owalo ateua wachama wawili wa Bodi ya mamlaka ya mawasiliano

Waziri Owalo ateua wachama wawili wa Bodi ya mamlaka ya mawasiliano

0
kra

Waziri wa teknolojia ya Habari mawasiliano na uchumi digitali Eliud Owalo, amewateua wanachama wawili katika halmashauri ya mamlaka ya mawasiliano nchini .

Kwenye Gazeti rasmi la serikali la Juni 27 ,Owalo amewateua Ummu Bunu Haji Ahmed na Musangi Mutua kuwa wanachama .

kra

Aidha Waziri Owalo amefuttilia mbali uteuzi wa wachama wa awali Sarah Kabira, Albert Kochei na Tonia Mutiso.

Wanachama hao wawili watahudumu kwa kipindi cha miaka mitatu.