Home Habari Kuu Waziri Machogu kuzindua uteuzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza Jumatatu

Waziri Machogu kuzindua uteuzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza Jumatatu

0

Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu ametangaza kuwa zoezi la uteuzi wa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza litaanza Jumatatu ijayo Disemba 17.

Waziri Machogu ataongoza zoezi hilo katika shule ya upili ya Lenana .

Machogu ameongeza kuwa wanafunzi watapew nafasi sawa kulingana na alama walizopata kwenye mtihani wa darasa la nane KCPE.

Website | + posts