Home Kimataifa watu kumi wafariki nchini Malasya kufuatia ajali ya ndege

watu kumi wafariki nchini Malasya kufuatia ajali ya ndege

0

Watu kumi wamefariki mapema Jumanne nchini Malasyia kufuatia ajali ya ndege mbili za kijeshi zilizogongana.

Wanajeshi hao walikuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi wakati ndege hizo mbili zilipogangana na kuanguka .

Ndege moja ilikuwa na abiria saba huku nyingine ikiwa na abiria watatu na wote wameripotiwa kuaga dunia, huku miili yao ikipelekwa hospitalini kutambuliwa.

Uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Website | + posts