Home Michezo Washindi wa dhahabu ya Olimpiki kutuzwa shilingi milioni 6

Washindi wa dhahabu ya Olimpiki kutuzwa shilingi milioni 6

0

Shirikisho la Riadha Ulimwenguni limetangaza zawadi ya pesa  ya shilingi milioni 6.5 kwa kila mshindi wa nishani ya dhahabu ya Olimpiki kaunzia kwa  makalaya mwaka huu jijini Paris Ufaransa.

Itakuwa mara ya kwanza kwa zawadi ya pesa kutolewa katika michezo ya Olimpiki .

Kwa jumla shirikisho la riadha Ulimwenguni limetenga shilingi milioni 312 kuwatuza washindi wa dhahabu  katika fainali zote 48 za riadha, ikiwemo  mbio za kupokezana kijiti ambao pia watapokea  kiasi sawa cha shilingi milioni 6 .5.

Website | + posts