Home Michezo Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia

Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia

Wanariadha na maafisa wa kiufundi wa timu ya Kenya watawasili kwa ndege tofauti na nyakati tofauti.

0

Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest nchini Hungary watarejea nyumbani Jumatatu usiku.

Kenya iliyowakilishwa na wanaraidha 57 ilimaliza katika nafasi ya 5 kwenye jedwali la medali kwa nishani 10, dhahabu 3, fedha 3 na shaba 4.

Wanariadha na maafisa wa kiufundi wa timu ya Kenya watawasili kwa ndege tofauti na nyakati tofauti.

Website | + posts