Home Michezo Wakenya wafunga michezo ya Afrika ya ufukweni kwa nishani mbili

Wakenya wafunga michezo ya Afrika ya ufukweni kwa nishani mbili

Kikosi cha Kenya kimenyakua nishani ya fedha katika mpira wa kikapu wa 3x3 kwa wanawake huku pia timu ya wasichana ya tennis kwa wachezaji wawili ikiongoza medali ya shaba.

0

Kenya imekamilisha makala ya pili ya michezo ya Afrika ya ufukweni toho juu baada ya kutwaa medali mbili katika siku ya mwisho mjini Hammamet Tunisia siku ya Jumamosi.

Kikosi cha Kenya kimenyakua nishani ya fedha katika mpira wa kikapu wa 3×3 kwa wanawake huku pia timu ya wasichana ya tennis kwa wachezaji wawili ikiongoza medali ya shaba.

Faith Urasa na Shufaa Ruwa Changawa walishinda medali ya sahaba kabla ya vidosho wa mpira wa kikapu kushinda fedha.

Kwa jumla Kenya imemaliza mashindano hayo kwa medali 5 ikiwa matokeo bora kuliko katika makala ya kwanza mwaka 2019 iliponyakua nishani tatu pekee.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here