Home Biashara Wafanyabiashara wakadiria hasara kufuatia mgomo wa madereva wa malori

Wafanyabiashara wakadiria hasara kufuatia mgomo wa madereva wa malori

Containers pekee zilizosafirishwa ni zile za kupitia reli ya SGR ambayo inamudu containers 1,500 pekee wakati malori yakisafirisha containers 4,000 kwa siku

0

Wafanyabiashara wa usafirishaji wa makontena  kutoka bandari ya Mombasa wangali wanakadiria hasara huku mgomo wa madereva wa malori ukiingia siku ya tatu.

Madereva wanapiga agizo la serikali kupitia kwa mamlaka ya usalama barabarani, NTSA kutekeleza sharti la kila dereva kutathminiwa upya kila wakati wa kutafuta leseni mpya.

Makontena pekee yaliyosafirishwa ni yale ya kupitia reli ya SGR ambayo inamudu makontena 1,500 pekee wakati malori yakisafirisha makontena 4,000 kwa siku.

Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen Jumanne wiki hii alitoa agizo la kufutilia mbali mgomo huo, agizo ambalo limepuuzwa na  madereva hao.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here