Home Biashara Waagizaji bidhaa walalama kuhusu matozo mapya bandarini

Waagizaji bidhaa walalama kuhusu matozo mapya bandarini

0

Wafanyibiashara wanaoagiza bidhaa kupitia kwa bandari ya Mombasa wamelalama kuhusu kuongezwa kwa ada na matozo mengine kando yale yaliyo rasmi.

Kulingana na waagizaji bidhaa kutoka nje ya nchini kupitia kwa Bandari ya Mombasa wanasema wamekuwa akitozwa ada nyingine fiche kando na zile zilizoidhinishwa na mamlaka ya usafiri wa majini KMA.

Wafanyabishara hao wanaitaka serikali  kunusuru biashara zao dhidi ya matozo hayo fiche yanayoengeza gahrama ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchini na kupunguza faida zao.

Website | + posts