Vikao vilivypangwa vya Seneti mashinani vilivyostahiki kuandaliwa kati ya Septemba 23 na 27 vimeahirishwa hadi Oktoba 28.
Karani wa Bunge la seneti Jeremiah Nyegenye amemwandikia waraka Speaker wa bunge la Busia Gabriel Erambo kuhusiana na mabadiliko hayo .
Nyegenye said,ametaja hatua ya kuahirisha vikao hivyo kuliidhinishwa na kamati ya shughuli za bunge Agosti 14.