Home Kimataifa Vijana wa Gen Z waandaa maombi kwa wenzao waliofariki

Vijana wa Gen Z waandaa maombi kwa wenzao waliofariki

0
kra

Zaidi ya vijana 500 waliandaa maombi kuwakumbuka wenzao waliofariki  wakati  wa maandamano ya kitaifa ya vijana wa Gen Z .

Vijana hao walifanya maombi katika bustani ya Jivanjee kaunti ya Nairobi,kabla ya kuelekea katika hospitali kuu ya Kenyatta, kuwatembelea wenzao waliojeruhiwa wakati wa maandamano hayo.

kra

 

Website | + posts