Home Michezo Vidosho wa Kenya wafuzu kwa michezo ya dunia ya ufukweni

Vidosho wa Kenya wafuzu kwa michezo ya dunia ya ufukweni

Kocha mkuu Fathimi Hamisi amesema wanafurahia kufuzu huku wakipanga kuanza kujiandaa kwa mashindano hayo ya kuanzia Agosti 12 mwaka huu.

0
kra

Timu ya wanawake ya soka ya ufukweni ya Kenya imefuzu kwa michezo ya dunia mjini Bali ,Indonesia baada ya kupewa ushindi wa ubwete dhidi ya Cape Verde katika mashindano ya Afrika yanayoendelea huko Hammamet,nchini Tunisia.

kra

Kocha mkuu Fathimi Hamisi amesema wanafurahia kufuzu huku wakipanga kuanza kujiandaa kwa mashindano hayo ya kuanzia Agosti 12 mwaka huu.

Website | + posts