Home Vipindi Uvumbuzi na Teknolojia: Teknolojia ya kisasa imebadilisha sekta ya afya kwa njia...

Uvumbuzi na Teknolojia: Teknolojia ya kisasa imebadilisha sekta ya afya kwa njia gani ?

0

Ujio wa teknolojia ya kisasa unaendelea kubadilisha namna sekta ya afya inavyofanya kazi. Mvumbuzi Maxwell Githinji kutoka Creswave Ltd ametengeneza ametengeneza mfumo wa programu ya tarakilishi kwa jina E-Care Africa ambao unasaidia vituo vya afya na hospitali kutoa huduma bora kwa wagonjwa na wateja mbalimbali. 

 

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts