Home Habari Kuu Upinzani kuendeleza maandamano Julai 12

Upinzani kuendeleza maandamano Julai 12

Muungano huo chini ya ungozi wa kinara wa chama cha ODM Ralila Odinga pia umetishia kuishtaki serikali kwa kushindwa kuwapqa ulinzi na kushambuliwa kwa vitoa machozi wakati wa maanadamano ya Julai 7.

0

Muungano wa upinzani  Azimio one Kenya, umetangaza kurejele maandamano ya kupinga gharama ya maisha  tarehe 12 mwezi baada ya kufanya maandamano  ya siku ya sabababa.

Muungano huo chini ya ungozi wa kinara wa chama cha ODM Ralila Odinga pia umetishia kuishtaki serikali kwa kushindwa kuwapqa ulinzi na kushambuliwa kwa vitoa machozi wakati wa maanadamano ya Julai 7.

kulingana na kiranja wa walio wacheche bungeni Opiyo Wandayi maandamano ya siku ya Ijumaa yalikuwa yakuwaandaa wafuasi wao kote nchini kujitokeza na kulalamikia gharama ya juu ya maisha na mswada wa  fedha wa mwaka 2023.

Maafisa wa usalama walikabiliana na waandamaji hao katika kaunti mbali siku ya Jumatano.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here