Home Habari Kuu Umeme kupotea katika kaunti nne Jumapili yasema KPLC

Umeme kupotea katika kaunti nne Jumapili yasema KPLC

0

Kampuni ya kusambaza nguvu za umeme nchini KPLC imetangaza kutoweka kwa umeme siku ya Jumapili April 7 katika kaunti nne.

Kaunti zitakazoathirika ni panmpja na Mombasa, Kilifi, Nyeri na Uasin Gishu .

Hitilafu hiyo inataokana na ukarabati na urekebishaji wa laini za umeme huku umeme ukitarajia kutoweka kati ya saa mbili asubuhi na saa kumi na moja jioni.

Maeneo ya Mombasa yatakayo athirika ni Shanzu, Utange na Kiembeni .

Maeneo mengine ya pwani yatakayoathiika ni :-Mshomoroni, Vikwatani, Mtopanga, Junda, Kiembeni, Bamburi, Utange, Kazdandani, Kashani, Kwa Bullo ,Mwembelegeza,Bombolulu, KRA customs, Naivas Nyali, Baobab road, Third Avenue, Milele Beach, Pirates, Sai Rock Hotel, White Sands Hotel, Neptune, Travellers, Pride Inn Hotel, Shanzu, Majaoni, Shimoo la Tewa prison na Mama Ngina Girls High School .

Katika kaunti ya Uasin maeneo yatakayoathirika ni Roadblock , Maili Nne ,Raiply industry, Pipeline, Mti Moja, Kahoya estate, Roadblock, Khetias supermarket, Maili nne estate, Majengo Catholic church, Kiplombe, Ziwa centre na Maji Mazuri Flowers .

Maeneo ya kaunti ya Nyeri yatakayokosa umeme ni:-Maathai supermarket, Nyeri police station, Samrat supermarket, Chieni supermarket, Equity bank, Safaricom Limited, Multi choice offices, Governors office, cooperative Bank, Absa Bank,Highlands Minerals, Agriplast Limited, Eliezer Ltd, Mathari Hospital, Cocacola water pumb, outspan medical college, Chania Rwamba na Italian Memorial church .

Kaunti ya Kilifi itakosa umeme katika maeneo ya Kilifi township, Baricho, Vipingo, Kikambala na Kanamai .