Home Vipindi Uchumi na Biashara: Kampuni za uzalishaji na usambazaji bidhaa nchini kupanua biashara...

Uchumi na Biashara: Kampuni za uzalishaji na usambazaji bidhaa nchini kupanua biashara zake Afrika

0

Kampuni za uzalishaji na usambazaji bidhaa humu nchini zinatarajiwa kupanua biashara zake barani Afrika baada ya kuzinduliwa kwa mtandao, utakaowawezesha kuuza bidhaa zao katika mataifa mbali mbali barani Afrika.