Home Kimataifa Uchaguzi kuandaliwa mwezi huu nchini Senegal

Uchaguzi kuandaliwa mwezi huu nchini Senegal

0

Hatimaye Senegal imeafikia tarehe ya uchaguzi uliocheleweshwa wa Urais na sasa utaandaliwa Machi 24, 2024 baada ya wiki kadhaa za vurugu zilizotokana na hatua ya kuahirisha uchaguzi huo.

Awali, uchaguzi huo ulikuwa umepangiwa kuandaliwa Februari 25, 2024 lakini ukaahirishwa na Rais Macky Sall.

Tangazo la tarehe ya uchaguzi limetolewa leo na serikali baada ya Baraza la Mawaziri kufanya kikao kujadili uamuzi wa mahakama ya upeo nchini humo uliotaja hatua ya Rais anayeondoka Macky Sall ya kuahirisha uchaguzi ni kinyume cha katiba.

Sall alikuwa amependekeza kwamba uchaguzi huo ufanyike mwezi Juni mwaka huu siku kadhaa baada ya kipindi chake uongozini kukamilika. Kipindi hicho kinafikia mwisho Aprili 2, 2024.

Rais Sall amevunja serikali pia na kuteia waziri wa mambo ya ndani Sidiki Kaba kuwa waziri mkuu ambapo anachukua mahala pa Amadou Ba. Hatua hiyo alisema inalenga kuwezesha Ba kuangazia uchaguzi.

Amadou Ba ndiye mw who is the ruling coalition’s presidential candidate, focus on his electoral campaign.

It is the latest twist in a charged Senegal where Sall’s decision to delay elections originally set for February 25, citing errors in the electoral process, led to violent unrest, and warnings from the country’s international allies that its reputation as one of coup-hit West Africa’s more stable democracies is under threat.

The crisis had prompted an emergency meeting of the regional Economic Community of West African States (ECOWAS) bloc in an attempt to calm widespread violence.

The Constitutional Council had in February ruled that a proposal from a national dialogue commission for the vote to be held on June 2 was not in line with the constitution.

“The Council’s decision to stand up to the president … is seen as a tribute to Senegalese democracy, and the new election date comes as a relief to many Senegalese who will finally have a say in their country’s future,” Al Jazeera’s Nicolas Haque reported from the capital, Dakar.