Home Michezo Tatjana Smith atwaa dhahabu ya kwanza ya Afrika katika Olimpiki

Tatjana Smith atwaa dhahabu ya kwanza ya Afrika katika Olimpiki

0
kra

Mwogeleaji wa Afrika Kusini Tatjana Smith alishinda dhahabu ya uogeleaji mita 100 mtindo wa breaststroke kwa wanawake Jumatatu usiku.

Tatjana aliyekuwa ameshinda nishani ya fedha mwaka 2020 mjini Tokyo alitwaa dhahabu kwa dakia 1 sekunde 5.28, akifuatwa na Qianting Tang wa China aliyeshinda fedha, huku shaba ikimwendea Mona Mc Sharry wa Ireland.

kra

Dhahabu hiyo ilikuwa ya kwanza kwa wanamichezo wa Afrika .

 

Afrika kusini ndio nchi bora Afrika ikiwabna dhahabu 1 na shaba 2,shaba moja ya raga ya wanaume saba upande na pia ya uendeshaji baiskeli.

Japan ingali bora kwa dhahabu  6 fedha 2 na shaba 4, ikifuatwa na  Ufaransa kwa dahahbu 5 fedha 8 na shaba 3, huku China ikiwa ya tatu kwa dhahabu 5 fedha 5 na shaba 2.

Website | + posts