Home Michezo Tanzania watwaa kombe la CECAFA kwa wasichana chini ya miaka 18

Tanzania watwaa kombe la CECAFA kwa wasichana chini ya miaka 18

Winfrida Gerald alipachika bao la pekee na la ushindi kunako dakika ya 42 na kudumu hadi kipenga cha mwisho.

0
kra

Wenyeji Tanzania wametwaa kombe CECAFA kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 18 baada ya kuwalaza Uganda bao moja bila kwenye mechi ya fainali iliyosakatwa Ijumaa jioni ugani Azam Sports Complex.

Winfrida Gerald alipachika bao la pekee na la ushindi kunako dakika ya 42 na kudumu hadi kipenga cha mwisho.

kra

Burundi ilinyakua nshani ya shaba baada ya kuititiga Zanzibar mabao 4 kwa bila.

Website | + posts