Home Tags Zimbabwe

Tag: Zimbabwe

Ubunifu wa kilimo na teknolojia ni muhimu katika kupunguza umaskini,asema Rais...

Rais alisema kuwa uvumbuzi una uwezo wa kutambulisha uchumi kwa uwezekano wa uchumi wa kidijitali na kuongeza biashara ya ndani ya Afrika, hivyo kuharakisha...

Rais Ruto awasili Zimbabwe kwa ziara ya siku mbili

0
Raia  Wiliam Ruto Ijumaa jioni aliwasili Jijini Bulawayo, Zimbabwe kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili. Rais Ruto ambaye ameandamana na mama taifa Rachel Ruto,...

Kiongozi wa upinzani Zimbabwe ajiuzulu chamani

0
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu kutoka kwa chama chale cha CCC, akidai hujuma za serikali. Chamisa alitangaza uamuzi huo siku...

Urusi yatuma tani laki mbili za nafaka Afrika

0
Urusi imetangaza kutuma shehena ya kwanza ya nafaka kwa mataifa ya Afrika kutimiza ahadi ya rais Vladmir Putin, wakati wa kongamano la mataifa ya...

Sita wafa wengine 30 wafukiwa kwenye mgodi Zimbabwe

0
Watu sita wameriporiwa kufariki huku wengine 30 wakifukiwa ndani ya mgodi ulioporomoka Ijumaa viungani mwa mji mkuu wa Zimbabwe, Harare. Kulingana na shirika la...

Mnangagwa aapisha mwanawe na mpwa wake

0
Hata baada ya kushtumiwa vikali na upande wa upinzani nchini Zimbabwe, Rais wa nchi hiyo Emmerson Mnangagwa, ameapisha mwanawe na mpwa wake kuhudumu kwenye...

Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Mnangagwa kumteua mtoto wake kwenye Baraza la Mawaziri

0
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata...

Rais Mnangagwa wa Zimbabwe aapishwa kuhudumu muhula wa pili

0
  Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameapishwa kuhudumu muhula wa pili. Hii ni baada ya Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 kuibuka mshindi katika uchaguzi...

Waziri Musalia Mudavadi awasili nchini Zimbabwe

0
Waziri Mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amewasili katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare kwa ziara ya siku mbili.  Hususan, wakati wa ziara hiyo, Mudavadi atamwakilisha...

Mudavadi kumwakilisha Rais Ruto Zimbabwe

0
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi anaondoka nchini leo kuelekea jijini Harare nchini Zimbabwe ambako anakwenda kumwakilisha Rais William Ruto kwa sherehe ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS