Tag: Zabron Singers
Mwili wa mwimbaji Marco Joseph wazikwa Tanzania
Mwili wa Marco Joseph Bukuru, mmoja wa waimbaji wa kundi la Zabron Singers ulizikwa jana Jumapili kwenye makaburi ya Nyakato, kata ya Nyasubi mjini...
Mwimbaji Marco Joseph wa kundi la Zabron Singers afariki
Mwimbaji Marco Joseph wa kundi maarufu la nyimbo za injili la Zabron Singers kutoka Tanzania ameaga dunia.
Marco alifariki juzi Jumatano wakati akipokea matibabu...