Home Tags Yoweri Museveni

Tag: Yoweri Museveni

Uganda kuagiza bidhaa za Petroli kutumia bandari ya Mombasa

Kenya na Uganda zimetia saini mkataba wa pande tatu ili  kuwezesha uagizaji wa bidhaa za petroli nchini Uganda kupitia bandari ya Mombasa. Nchi hizo mbili...

Rais Ruto na Raila Odinga wakutana nchini Uganda

0
Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga walifanya ziara nchini Uganda na kukutana na Rais Yoweri Museveni. Rais Ruto...

Uganda haitashawishiwa na mataifa ya nje, asema Museveni

0
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema juhudi za kimataifa za kujaribu kuishawishi nchi yake, hazitafaulu. Kauli za Rais Museveni zinajiri yapata zaidi ya juma moja...

Museveni aingilia kati kuokoa tamasha ya Nyege Nyege

0
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameingilia kati kuokoa tamasha maarufu ya Nyege Nyege baada ya mabalozi wa kigeni kuwaonya raia wao dhidi ya kuhudhuria...

Rais Museveni alaani mauaji ya watalii wawili

0
Saa chache baada ya watalii wawili kuuawa na wanamgambo wa Allied Defence Forces ADF, Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelaani mauaji ya wawili hao,...

Rais Ruto afanya mazungumzo na Rais Museveni

0
Rais William Ruto siku ya Jumapili alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, katika ikulu ya Entebbe. Viongozi hao wawili walijadiliana kuhusu maswala ya...

Rais Museveni amsifu mchungaji Dorcas Rigathi

0
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemmiminia sifa sufufu  mkewe naibu Rais wa Kenya mchungaji Dorcas Rigathi, akimtaja kiongozi wa kupigiwa mfano aliyejitolea vilivyo katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS