Home Tags WRC

Tag: WRC

Kalle Rovanpera ndiye bingwa wa Safari Rally mwaka 2024

0
Bingwa mtetezi wa dunia wa mashindano ya WRC Kalle Rovanpera wa Toyota Gazoo amesajili ushindi wake wa pili katika mkondo wa tatu wa msimu...

Wafanyabiashara mjini Naivasha walalamikia biashara duni licha ya Safari Rally

0
Wafanyabiashara mjini Naivasha wamelalamikia biashara zao kuwa chini kinyume cha matarajio ya kwamba vingenoga kutokana na mashindano yanayoendelea ya magari ya Safari Rally. Baadhi ya...

Madereva wa Kenya kujituma dhidi ya mibabe, mashindano ya WRC

0
Mashindano ya magari ya WRC Safari Rally yanaandaliwa kati ya Machi 28 na 31 huku yakiwashirikisha madereva 29. Hata hivyo, hakuna dereva wa Kenya atakayeshiriki...

Rais Ruto kuanzisha Safari Rally

0
Rais William Ruto anatarajiwa kuanzisha makala ya mwaka huu ya mashindano ya magari, maarufu kama WRC Safari Rally katika jumba la KICC kuanzia saa...

Rais Ruto awarai Wakenya kushangilia WRC

0
Rais William Ruto amewarai Wakenya kujitokeza kwa wingi kushangilia mashindano ya mbio za magari ya WRC Safari Rally. Mashindano hayo yataandaliwa baina ya tarehe 28...

Rais Ruto: Mashindano ya WRC yataimarisha uchumi wa taifa

0
Serikali inalenga kutumia vyema Mashindano ya Dunia ya Mbio za Magari (WRC) ili kutanua fursa za kiuchumi nchini. Rais William Ruto amesema mashindano hayo yanavutia...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS