Home Tags World Athletics

Tag: World Athletics

Beijing kuandaa mashindano ya Riadha Duniani mwaka 2027

0
Mji wa Beijing China umeteuliwa kuandaa mashindano ya Riadha Duniani mwaka 2027. Beijing itakuwa mwenyeji wa makala hayo ya 21, miaka 12 tangu mashindano hayo...

Kiptum apumzishwa nyumbani kwake

0
Mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za marathoni Kelvin Kiptum amezikwa leo Ijumaa nyumbani kwake eneo la Naiberi, kaunti ya Uasin Gishu kwenye...

Kipyegon aorodheshwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka kwa vidosho

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon ameteuliwa katika orodha ya mwisho ya wanariadha watano wanaowania tuzo ya mwanariadha...

Wanyonyi ateuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha chipukizi bora wa mwaka

0
Mshindi wa  nishani ya fedha dunia  mwaka huu katika mbio za mita 800,Emmanuel Wanyonyi, ameteuliwa katika orodha ya mwisho ya wanariadha watatu wanaowania tuzo...

Kiptum ateuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka

0
Mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum ameteuliwa miongoni mwa wanariadha 11, wanaowania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka huu...

Kipyegon ateuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon ameteuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka huu kwa wanawake. Kipyegon ambye...

Mabarubaru Wanyonyi na Kipng’etich kuwania tiketi ya fainali ya mita 800

0
Chipikuzi wa Kenya Emmanuel Wanyonyi na Alex Kipng'etich watajitosa uwanjani Alahamisi usiku mjini Budapest,Hungary kwenye fainali ya mita 800 huku mashindano ya Riadha Duniani...

Kipsang na Cheruiyot wawinda dhahabu telezi ya mita 1500 Budapest

0
Abel Kipsang na Reynold Kipkorir ndio wakenya watakaojitosa uwanjani jumatano usiku katika  fainali ya mita 1500 mjini Budapest Hungary. Kipsanga anaorodheshwa wa tatu ulimwenguni huku...

Tuwei achaguliwa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni

0
Rais wa Shirikisho la Riadha Kenya Jenerali mstaafu Jackson Tuwei, amechaguliwa kuwa mmoja wa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni kwenye uchaguzi ulioandaliwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS