Tag: World Athletics Championships 2023
Kipyegon na Kipkorir waridhia shaba mbio za barabara duniani
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1500 Faith Kipyegon na Nicholas Kipkorir, wamenyakua medali za shaba katika makala ya kwanza ya...
Kenya kuwinda nishani katika fainali tatu Jumamosi
Kenya itakuwa ikiwinda nishani kwenye fainali tatu katika siku ya kwanza ya makala ya 19 ya mashindano ya riadha duniani mjini Budapest,Hungary siku ya...
Cheptegei kuongoza Uganda kwa mashindano ya riadha duniani mjini Budapest
Bingwa mtetezi wa dunia katika mita 10,000 Joshua Cheptegei, bingwa wa Jumuiya ya Madola katika mita 5,000 na 10,000 Jacob Kiplimo na bingwa wa...
Tobi Amusan kukosa kutetea taji ya dunia baada ya kupigwa marufuku
Bingwa wa dunia katika mbio za mita 110 Tobi Amusan kutoka Nigeria atakosa kutetea taji ya dunia mwezi ujao mjini Budapest nchini Hungary baada...
Kimeli awahi tiketi ya dunia
Nicholas Kimeli na Daniel Simiu wamejikatia tiketi kwa mashindano ya dunia katika mita 10,000, katika siku ya kwa za ya majaribio ya kitaifa uwanjani...